Waliohudhuria
1. Alex
Kiondo
2. Gilda
Sangawe
3. Veronika
Joseph
4. Helen
Kasegenya
5. Godwin
Sangawe
6. William
Joshua
7. Julias
Makara
8. Hadija
Shanglah
9. Mariam
Mgonja
Wasiohudhuria kwa
taarifa
1. Evelyn
Amani
2. Evans
Shirima
3. Senorina
John
4. Amani
Golugwa
AGENDA
1. Kufungua
kikao
2. Katiba
3. Ada
ya kiingilio
4. Mchango
wa Julieth
5. Mengineyo
6. Kufunga
kikao
1
Agenda
Na 1/3/2012- Kufungua Kikao
Mwenyekiti alifungua kikao saa 10.20 jioni.
Agenda
Na 2/3/2012- Katiba
Katiba
ilijadiliwa kuwa kufanyike mawasiliano kati ya Judith Lohay na Evelyn Amani na
katiba itumwe kwa Daudi Mavura- Dar ili apeleke kwa Tilliya Brela kwa ajili ya
taratibu za usajili.
Agenda
Na 3/3/2012- Ada ya kiingilio
Ilijadiliwa kuwa ada ya kiingilio iendelee
kutolewa kwa Mweka Hazina ili kufungua akaunti.
Agenda
Na 4/3/2012- Mchango wa Julieth
Mchango
wa Julieth ulitolewa na ilijadiliwa watu wanaweza kuendelea kumchangia, pesa
zitumwe kwa Mweka Hazina.
Agenda
Na 5/3/2012- Mengineyo
Wanachama walijadili kuhusu swala la watu
kusambaza maneno mabaya mwenyeketi atalifanyia kazi na kulikomesha.
Ujenzi wa chumba cha French Lab kikao
kilijadili kuwa hakuna fungu kwa sasa na Umoja utapanga mambo ya kusaidia
Arusha Seki na kuwasiliana na mkuu wa shule moja kwa moja na sio kupitia
mwakilishi.
Fomu za uanachama Evelyn Amani azipe namba kwa
majimbo.
Agenda
Na 5/3/2012- Kufunga Kikao
Kikao kilifungwa saa 12.45 jioni na Mwenyekiti
aliwashukuru wanachama waliohudhuria na michango yao waliotoa na aliairisha kikao
hadi baada ya pasaka.
No comments:
Post a Comment