Sunday, December 11, 2011

MUUNGANIKO WA WANASEKII

Kutokana na ucheleweshaji wa michango na...
Emma Mrosso 12:40am Dec 12
Kutokana na ucheleweshaji wa michango na kutoshirikiana ipasavyo sherehe ya reunion imeonekana iwe Jan. 2012 kwasababu wajumbe wenzetu
( mwenyekiti )DR JOSEPH, na mweka hazina ALOYCE MBULLU SUSA) wote ni wa jimbo la ughaibuni watakuwepo kipindi hicho hivyo ni vyema taratibu zetu ziendelee kama awali TZS 20,000 kwa kila mjumbe. Asanteni sana tunawatakia kila la kheri katika sikikuu za Noeli na Mwaka mpya.

Miss
Emma Mrosso
Katibu, Jimbo kuu Arusha Sekii, Arusha

2 comments:

Anonymous said...

Nakubaliana Katibu, ni wazo zuri, lakini lazima tuwe na plan B. Ikitokea watu wamechanga michango ya kutosha na hawa wageni wa ughaibuni hawajatokea tutakuwa hatuna jinsi zaidi ya kusonga mbele. Sitaki hii issue ya reunion iendelee kuumiza akili zetu tena. Kuna watu wameisubiri mpaka wamezira sasa, wamechoka.
William Joshua.
Mwenyekiti.

Doreen AG said...

Asante kwa taarifa