Katibu wa Sekii Dar anaweka sawa yaliyojiri hiyo jana, na baadae tutayabandika hapa ubaoni.
Sekii....
Pamoja.
Pamoja?
Tunaweza.
Hapa ni baadhi ya waliofika, wakimsikiliza Daudi Matle aliyesimama
Kisaka Mavoa (94) aliyesimama na Esther Robert Mattle (96) aliyeka.
Kisaka Mavoa (94) aliyesimama na Esther Robert Mattle (96) aliyeka.
Cheggy Mziray (94) na Daudi Matle (92)
Cheggy Mziray (94) na Daudi Matle (92)
Toka kushoto Martin Mbotto, Daudi Mavura, Nancy Sayore, Vumilia Kaaya, Laban Kisali (Jacob Laban Kisali) hawa ni class of 94
Ritha Alex, Atupele Mwakalinga na Jonas Joseph class of 96
Widimi (95), Prosper Mosha (98), Ritha (96),na Atupele (96)
Atupele, Jonas na Samuel class of 96
Daudi, Ms Shuma, na Zubeda class of 92
Jacob Laban, Esther Robert na Daudi Matle
Irene Walala (96), Martin Mbotto (94), Daudi Mavura (94), na Nancy Sayore (94)
Tuduma katika umoja wetu.















































1 comment:
safi sana,nimefurahi kuona sura ngeni katika jamii naona sasa tunazidi kuongezeka,tunasubi muhutasari wa kikao
kazi nzuri sana
Dr Joseph kingo
Post a Comment