Wednesday, October 5, 2011

WANAJUMUIYA TUMEPATWA NA MSIBA

 
 
Mwenzetu Anna Denis Mushi,
 
amefiwa na baba yake usiku wa kuamkia 02/10/2011, Msiba unafanyika Fire [nyumba za national milling] Arusha. Mazishi yatafanyika nyumbani kwao URU - Moshi siku ya Alhamisi.Baba ataagwa Mt Meru Hospital Kesho [Alhamisi] 06/10/2011 saa mbili asubuhi.Kwa wale watakao penda kushiriki katika mazishi URU - MOSHI kutakua na mabasi Yatakayo anza safari hapo mt meru hospital, nauli ya kwenda na kurudi itakua TZS 7,000.
tafadhali mwenye rambi rambi anaweza kuwakilisha kupitia kwa Emma Mroso au kwa Hellen Kasssegenya.
Mungu ailaze roho ya marehemu baba yetu mahali pema peponi.

Anna Mushi anapatikana kwenye namba +255 752136713

4 comments:

Sam said...

R.I.P. mzee Mushi.

ARUSHA SEKII ALUMNI said...

pole sana Anna; ya Mungu binadamu tunayakubali na safari yetu ni moja tunatofautiana siku,saa nk.mzee akapumzike kwa amani.
TULITOKA MAVUMBINI NA MAVUMBINI TUTARUDI

Anonymous said...

Tutamkumbuka baba yetu, Dada yetu Anna yote ni kazi ya MUNGU,anavuna kwenye shamba lake, tumembiwa tushukuru kwa kila jambo. Jipe ujasiri hasa katika kipindi hiki kigumu, wana jumuiya tupo pamoja na wewe katika kipindi hiki kigumu na cha majonzi kwako. Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina la Mungu Libarikiwe.

Daudi said...

R.I.P Baba yetu