Wednesday, November 23, 2011

REUNION;REUNION

hello,

Kwa wale watakaopendelea kushiriki reunion party munataarifiwa kuwakilisha michango yenu mapema kwa mweka hazina Hellen Kasegenya au katibu Emma Mrosso. Ni kiasi cha shs 20,000. Pia kwa wale wenye wasiwasi wa fedha zao kuTumika visivyo napenda kuwataarifu shughuli nzima ya reunion ni yetu wote, tutapangilia fedha zetu wote na kuamua tufanyie nn na kitakacho bakia tutaamua kwa pamoja fedha zifanyie nn.


Pia reunion haikuweza kufanyika km ilivyokua imepangwa kwani fedha zilizopatikana zilikua hazitoshei.


Naona mwanzo tulianza na nguvu nyingi Ambazo sikudhania Ingefikia kua na ukimya kiasi hiki, bado sijachoka kuwahamasisha na ninaamini Pamoja tunaweza.


Miss Emma
Katibu Jimbo kuu la Arusha

1 comment:

ARUSHA SEKII ALUMNI said...

mimi ninaunga mkono msisitizo wa kujitahidi kutoa michango ambayo kwa kweli sioni kama kiwango ni kikubwa kiasi cha kushindwa kufikia lengo lilikusudiwa haswa kwa uwiano wa wajumbe ambao tayari wamo katika orodha ya jumuiya.tuchangie kwa moyo mmoja au tukubaliane kuwa muda wa Re-union haujafika ili tujue moja.
Dr Joseph Kingo