Jumuiya ya wana sekii walikutana Jumapili 18/12/2011 jijini Dar na majimbo ya ughaibuni, jimbo kuu Arusha na wenyeji Dar kama inavyoonekana katika picha waliwakilishwa. Mengi yamezungumzwa. Tusubiri majumuisho ya yale yaliyozungumzwa kupata mwanga na kuchangia maoni yetu.
sekii...
Pamoja.
Pamoja?
Tunaweza.
2 comments:
Mbona siku hizi kuna vikao vingi sana na minute hatuzioni humu. Nadhani ni vizuri vikiwekwa humu ili kujua maendeleo ya kikundi kwa sisi wafuatiliaji wa karibu.
Namatumaini nitaweza kupata update hizi mara tu nitakaporudi kuangalia blog tena.
sasa tutachangia wapi kuhusu hoja za vikao .mfano kikao cha tarehe 25/2/2012 kuna mambo kadhaa yameniacha hoi ila pia labda ningepata namna ya kuuliza swali ili nipate kupata ufafanuzi japo kiasi.
hasa kwenye suala la kipengele 3.1
asante
Post a Comment